Ufafanuzi wa mkutubi katika Kiswahili

mkutubi

nominoPlural wakutubi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kuhifadhi vitabu katika maktaba na kuviazimisha kwa wasomaji.

Matamshi

mkutubi

/mkutubi/