Ufafanuzi msingi wa mkwaju katika Kiswahili

: mkwaju1mkwaju2mkwaju3

mkwaju1

nominoPlural mikwaju

 • 1

  mti unaozaa kwaju ndefu zenye ugwadu na zitumiwazo kuwa ni kiungo cha mchuzi na kinywaji.

Matamshi

mkwaju

/mkwaʄu/

Ufafanuzi msingi wa mkwaju katika Kiswahili

: mkwaju1mkwaju2mkwaju3

mkwaju2

nominoPlural mikwaju

 • 1

 • 2

  mstari mdogo unaochorwa kwa mshadhari kutenganisha taarifa mbalimbali zinazohusiana; (/).

Matamshi

mkwaju

/mkwaʄu/

Ufafanuzi msingi wa mkwaju katika Kiswahili

: mkwaju1mkwaju2mkwaju3

mkwaju3

nominoPlural mikwaju

 • 1

  mpira uliopigwa kwa nguvu kuelekea golini.

  ‘Alianza kumjaribu kipa kwa mkwaju mkali’

Matamshi

mkwaju

/mkwaʄu/