Ufafanuzi wa mkware katika Kiswahili

mkware

nomino

  • 1

    mwanamke au mwanamume mwenye tabia ya kupenda sana kufanya tendo la ngono na watu mbalimbali.

    mtiriri, asherati, mshongo, mbembe, mlupo

Matamshi

mkware

/mkwarÉ›/