Ufafanuzi wa mkweme katika Kiswahili

mkweme

nominoPlural mikweme

  • 1

    mmea unaotambaa juu ya miti, wenye majani mapana na huzaa matunda makubwa kama fenesi ambayo yana mbegu za duara na pana zitoazo mafuta.

Matamshi

mkweme

/mkwɛmɛ/