Ufafanuzi wa mkwepuzi katika Kiswahili

mkwepuzi

nominoPlural wakwepuzi

  • 1

    mtu mwenye kuchukua vitu hapa na pale kwa ujanja bila ya kurejesha.

    luja

  • 2

    mkopaji asiyelipa.

Matamshi

mkwepuzi

/mkwɛpuzi/