Ufafanuzi wa mlala katika Kiswahili

mlala

nominoPlural milala

  • 1

    mmea unaofanana na ukindu lakini majani yake ni magumu zaidi.

    muwaa

Matamshi

mlala

/mlala/