Ufafanuzi wa mlalamikaji katika Kiswahili

mlalamikaji

nomino

  • 1

    mtu anayepeleka malalamiko yake rasmi mbele ya chombo kinachohusika k.v. mahakama.

Matamshi

mlalamikaji

/mlalamikaʄi/