Ufafanuzi wa mlipuko katika Kiswahili

mlipuko

nominoPlural milipuko

  • 1

    muwako au mpasuko wa nguvu wa kitu k.v. baruti au moto.

Matamshi

mlipuko

/mlipukɔ/