Ufafanuzi wa mliwa katika Kiswahili

mliwa

nominoPlural miliwa

  • 1

    mti ambao vipande vyake au magome yake husagwa na hutumiwa na wanawake, agh. wa kizamani, kujipaka mwilini.

Asili

Kar

Matamshi

mliwa

/mliwa/