Ufafanuzi wa mlokole katika Kiswahili

mlokole

nominoPlural walokole

  • 1

    muumini wa dini ya Ukristo mwenye kufuata mafundisho ya Mwenyezi Mungu kwa karibu zaidi; Mkristo aliyempokea na kumkiri Bwana Yesu Kristo kuwa ni mwokozi wake.

Matamshi

mlokole

/mlɔkɔlɛ/