Ufafanuzi wa mlolongo katika Kiswahili

mlolongo

nominoPlural milolongo

  • 1

    mstari au mfuatano wa watu au vitu.

    mkururo, msururu, foleni, moza, mstari

Matamshi

mlolongo

/mlɔlɔngɔ/