Ufafanuzi wa mlupo katika Kiswahili

mlupo

nominoPlural walupo

  • 1

    msichana anayependa kufanya umalaya.

    mkware, dadapoa, malaya

Matamshi

mlupo

/mlupɔ/