Ufafanuzi wa mnajimu katika Kiswahili

mnajimu

nomino

  • 1

    mtu mwenye elimu ya mienendo ya nyota.

  • 2

    mtu mwenye elimu ya kutabiri utokeaji wa matukio kulingana na elimu ya nyota.

Asili

Kar

Matamshi

mnajimu

/mnaŹ„imu/