Ufafanuzi wa mnyiri katika Kiswahili

mnyiri

nominoPlural minyiri

  • 1

    mkono au mkia wa pweza au ngisi.

    mnyo, mwinyo

Matamshi

mnyiri

/mɲiri/