Ufafanuzi wa mochwari katika Kiswahili

mochwari, mochari

nomino

  • 1

    chumba au nyumba ya kuhifadhia maiti, yenye baridi au barafu.

    mafuoni

Asili

Kng

Matamshi

mochwari

/mɔtʃwari/