Ufafanuzi wa mpagao katika Kiswahili

mpagao

nomino

  • 1

    hali ya kupatwa na pepo mbaya na kufanya akili kuchanganyikiwa.

Matamshi

mpagao

/m pagaÉ”/