Ufafanuzi wa mpakuzi katika Kiswahili

mpakuzi

nominoPlural wapakuzi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kutoa mizigo au vitu chomboni au garini.

    kuli

Matamshi

mpakuzi

/m pakuzi/