Ufafanuzi wa mpande katika Kiswahili

mpande

nominoPlural mipande

  • 1

    mstari unaopigwa kwenye nywele katikati ya kichwa wakati wa kuchana au kusuka.

Matamshi

mpande

/m pandɛ/