Ufafanuzi msingi wa mpangaji katika Kiswahili

: mpangaji1mpangaji2

mpangaji1

nominoPlural wapangaji

  • 1

    mtu anayekaa mahali pasipo pake k.v. nyumba au chumba kwa kulipa kodi.

Matamshi

mpangaji

/m pangaʄi/

Ufafanuzi msingi wa mpangaji katika Kiswahili

: mpangaji1mpangaji2

mpangaji2

nominoPlural wapangaji

  • 1

    mtu awekaye vitu au mambo katika utaratibu au mpango fulani.

Matamshi

mpangaji

/m pangaʄi/