Ufafanuzi wa mpasuko katika Kiswahili

mpasuko

nominoPlural mipasuko

  • 1

    mwachano k.v. mahali kuingia mwanya au ufa.

  • 2

    sauti inayotokana na kualika au kupasuka kwa kitu.

  • 3

    mfarakano katika jamii.

Matamshi

mpasuko

/m pasukɔ/