Ufafanuzi wa mpea katika Kiswahili

mpea

nominoPlural mipea

  • 1

    mti unaozaa matunda yanayofanana na mapera ambayo ndani yake mna uwazi na hamna kokwa au tumba kama za pera.

Asili

Kng

Matamshi

mpea

/m pɛja/