Ufafanuzi wa mpekuzi katika Kiswahili

mpekuzi

nominoPlural wapekuzi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kutafutatafuta habari au kuchungua mambo.

  • 2

    mtu apendaye kupekua vitu, agh. kwa nia ya kuiba.

Matamshi

mpekuzi

/m pɛkuzi/