Ufafanuzi wa mpigadebe katika Kiswahili
mpigadebe
nominoPlural wapigadebe
- 1
mtu anayefanya kazi ya kuwaita abiria ili wapande basi fulani.
utingo - 2
mtu anayemfanyia kampeni mgombea nafasi fulani katika uchaguzi.
‘Katika uchaguzi wowote wapigadebe ni muhimu sana katika kufanikisha ushindi’