Ufafanuzi wa mpigadomo katika Kiswahili

mpigadomo

nomino

  • 1

    mtu anayekaa bure na kuongea mambo yasiyo na faida kwake wala kwa jamii inayomsikiliza.

    domokaya

Matamshi

mpigadomo

/m pigadɔmɔ/