Definition of mpiganaji in Swahili

mpiganaji

noun

  • 1

    askari jeshi.

  • 2

    mtu mwenye ujuzi wa kupigana k.v. ngumi au miereka.

    ghazi

Pronunciation

mpiganaji

/m piganaŹ„i/