Ufafanuzi wa mpigo katika Kiswahili

mpigo

nomino

  • 1

    namna ya upigaji wa kitu.

    ‘Mpigo wa wimbo huu unanipendeza’

Matamshi

mpigo

/m pigÉ”/