Ufafanuzi wa mpingo katika Kiswahili

mpingo

nominoPlural mipingo

  • 1

    mti mgumu wenye kiini cheusi unaotumiwa kutengenezea vyombo vya nyumbani k.v. meza, viti, mashanuo na vijiko au huchongwa vinyago.

    abunusi

Matamshi

mpingo

/m pingɔ/