Ufafanuzi wa Mprotestanti katika Kiswahili

Mprotestanti

nomino

  • 1

    mfuasi wa madhehebu mengine ya Ukristo yasiyo Katoliki.

Asili

Kng

Matamshi

Mprotestanti

/m prɔtɛstanti/