Ufafanuzi wa mpukutiko katika Kiswahili

mpukutiko

nomino

  • 1

    msimu wa kupukutika majani kutoka mitini na matunda na mazao kuvunwa, hasa nchi zenye baridi au Ulaya.

Matamshi

mpukutiko

/m pukutikÉ”/

Ufafanuzi wa mpukutiko katika Kiswahili

mpukutiko

nomino

  • 1

    mdondoko wa majani au matunda kwa kiasi kikubwa.

Matamshi

mpukutiko

/m pukutikÉ”/