Ufafanuzi wa mraruo katika Kiswahili

mraruo

nomino

  • 1

    upasuaji wa kitu kwa kuvuta kwa nguvu.

    mpasuo

Matamshi

mraruo

/mraruwÉ”/