Ufafanuzi wa msabaka katika Kiswahili

msabaka

nomino

  • 1

    mashindano k.v. ya mbio za farasi, watu au kati ya madarasa au shule.

Matamshi

msabaka

/msabaka/