Ufafanuzi wa msaidizi katika Kiswahili

msaidizi

nominoPlural wasaidizi

  • 1

    mtu anayemsaidia mwingine.

  • 2

    mtu anayefanya kazi chini ya mkuu wake.

Asili

Kar

Matamshi

msaidizi

/msaidizi/