Ufafanuzi wa msamehevu katika Kiswahili

msamehevu

kivumishi

  • 1

    -enye uwezo wa kusamehe.

Asili

Kar

Matamshi

msamehevu

/msamɛhɛvu/