Ufafanuzi wa msanamaki katika Kiswahili

msanamaki

nominoPlural misanamaki

  • 1

    mti ambao majani yake ni msahala.

Matamshi

msanamaki

/msanamaki/