Ufafanuzi wa msanifuujenzi katika Kiswahili

msanifuujenzi

nominoPlural wasanifuujenzi

  • 1

    mtaalamu wa kuchora ramani za ujenzi.

Matamshi

msanifuujenzi

/msanifuuʄɛnzi/