Ufafanuzi msingi wa msasa katika Kiswahili

: msasa1msasa2

msasa1

nominoPlural misasa

  • 1

    mmea wenye majani yanayokwaruza ambayo hutumiwa na seremala kulainishia mbao.

Matamshi

msasa

/msasa/

Ufafanuzi msingi wa msasa katika Kiswahili

: msasa1msasa2

msasa2

nominoPlural misasa

  • 1

    karatasi nzito iliyotiwa chembe za mchanga au kioo kilichosagwa ambayo hutumiwa na seremala kulainishia mbao.

Matamshi

msasa

/msasa/