Ufafanuzi wa mserego katika Kiswahili

mserego

nominoPlural miserego

  • 1

    ngoma ambayo huchezwa na mkusanyiko wa watu bila ya mpango maalumu na agh. huchezwa kwenye sherehe za harusi.

Matamshi

mserego

/msɛrɛgɔ/