Ufafanuzi wa mshamba katika Kiswahili

mshamba

nomino

  • 1

    mtu anayekaa shambani.

  • 2

    tamko la kuonyesha mtu asiye mkazi wa mjini wala asiyejua mazingira ya kimji.

Matamshi

mshamba

/m∫amba/