Ufafanuzi wa mshawasha katika Kiswahili

mshawasha

nomino

  • 1

    hamu ya kutaka kutenda jambo.

    shauku

Matamshi

mshawasha

/m∫awa∫a/