Ufafanuzi wa mshika katika Kiswahili

mshika

nominoPlural washika

  • 1

    mtu anayeshughulikia jambo fulani.

  • 2

    mtu anayekamata kitu fulani.

Matamshi

mshika

/m∫ika/