Ufafanuzi wa mshonaji katika Kiswahili

mshonaji

nominoPlural washonaji

  • 1

    fundi wa kushona vitu mbalimbali.

Matamshi

mshonaji

/m∫onaʄi/