Ufafanuzi wa msikiti katika Kiswahili

msikiti

nominoPlural misikiti

  • 1

    nyumba maalumu ambamo Waislamu husali na kufanya ibada nyingine.

Asili

Kaj

Matamshi

msikiti

/msikiti/