Ufafanuzi msingi wa msingi katika Kiswahili

: msingi1msingi2msingi3

msingi1

nomino

  • 1

    mahali palipochimbwa na kujengwa imara kwa madhumuni ya kusimamishia jengo.

Matamshi

msingi

/msingi/

Ufafanuzi msingi wa msingi katika Kiswahili

: msingi1msingi2msingi3

msingi2

nomino

Matamshi

msingi

/msingi/

Ufafanuzi msingi wa msingi katika Kiswahili

: msingi1msingi2msingi3

msingi3

nomino

  • 1

    mfereji unaochimbwa ili kupitishia maji machafu au maji ya mvua.

Matamshi

msingi

/msingi/