Ufafanuzi wa msolo katika Kiswahili

msolo

nomino

  • 1

    mmea unaotambaa ambao kokwa zake hutumiwa kuchezea bao.

Matamshi

msolo

/msɔlɔ/