Ufafanuzi msingi wa msongo katika Kiswahili

: msongo1msongo2

msongo1

nomino

  • 1

    namna ya usongaji.

  • 2

    mtindo wa usukaji wa nywele.

    msuko

Matamshi

msongo

/msɔngɔ/

Ufafanuzi msingi wa msongo katika Kiswahili

: msongo1msongo2

msongo2

nomino

Matamshi

msongo

/msɔngɔ/