Ufafanuzi wa msonobari katika Kiswahili

msonobari

nomino

  • 1

    mti mrefu unaotoa mbao za rangi ya manjano zilizo madhubuti kwa kazi za useremala.

Matamshi

msonobari

/msɔnɔbari/