Ufafanuzi msingi wa msukule katika Kiswahili

: msukule1msukule2

msukule1

nominoPlural msukule, Plural wasukule

  • 1

    uganga wa kichawi anaofanyiwa mtu na kufariki.

Matamshi

msukule

/msukulɛ/

Ufafanuzi msingi wa msukule katika Kiswahili

: msukule1msukule2

msukule2

nominoPlural msukule, Plural wasukule

  • 1

    mtu aliyefanyiwa uchawi na kufa lakini wakati mwingine watu hukutana naye njiani na kutoweka.

    ‘Siku hizi uchawi wa msukule unaweza kuopolewa kwa maombi kanisani’

Matamshi

msukule

/msukulɛ/