Ufafanuzi wa msuluhishi katika Kiswahili

msuluhishi

nominoPlural wasuluhishi

  • 1

    mtu anayepatanisha watu wanaopigana au wanaogombana.

    mpatanishi, modereta

Asili

Kar

Matamshi

msuluhishi

/msuluhi∫i/