Ufafanuzi wa msumari katika Kiswahili
msumari
nominoPlural misumari
- 1
kipande chembamba cha chuma chenye ncha na kichwa ambacho hupigiliwa katika mbao, vyuma au ukutani kushikanisha vitu.
- 2
mwiba wa mdudu k.v. nyuki anaoutumia kudungia.
usena
Asili
Kar