Ufafanuzi wa msumbufu katika Kiswahili

msumbufu

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kughasi watu; mwenye kusumbuasumbua watu.

Matamshi

msumbufu

/msumbufu/